Sunday, December 30, 2012

Penzi la Kanye West na Kim limezidi kukolea baada ya kim kupata ujauzito...

Host wa kipindi cha kardashians in Reality TV mwanadada kim ambae ni mpenzi wa rapper kanye west,,hivi sasa mwanadada huyu ni mjamzito ambapo Kanye West mwenyewe alitangaza hili katika perfomance yake ya mwisho wa mwaka Atlanta City,pia mwakilishi wa Kim alilithibitisha hili..


bata batan,,njoo tufunge mwaka hapaa


Friday, December 28, 2012

Nunua nyimbo ya Roma kwa Sh.3000/= tuu..show LOVE





kama wewe ni shabiki wangu namba moja basi onesha ushirikiano wako na support kazi zangu kwa kununua Track yangu kwa sh.3000/= tu za kibongo..tuma kupitia  TIGO PESA +255 717 720 078 au M PESA +255 893 469... ntakutumia wimbo huu

Hii ni Art work Official ya Wimbo Mpya kutoka kwa Chibwa Wa Tanchy...Baada ya Aghiba Dance Ambayo ilipikwa katika Jiko la DE FATALITY Chini ya Producer  Mesen Selekta. Raundi hii ya Pili WIMBO Unaitwa NISHAI Akimshirikisha Msanii Juru Mbulula..
Kuwa karibu na Hizi Anuani ambazo Wimbo huu utapatikana .Mwanzoni wa mwaka 2013 ..

                               Chibwa Ukurasa wa My Space
                                Chibwa Ukurasa wa Facebook
                     Chibwa Ukurasa wa Reverbnation
                      Chibwa ukurasa wa Twitter                                  
                        Jiunge Na Ukurasa wake wa Mashabiki Facebook

Monday, December 24, 2012

JE UNAJUA MAANA YA HII LOGO YA M_MTANASHATI Entertainment!!!.. CHEK HAPAA






Kampuni ya Mtanashati Entertainment imeweka bayana maana kamili ya maandishi yaliyopo katika logo yao kama inavyoonekana hapo juu kama ifuatavyo>>>

M-ilizungushiwa duara jekundu ikisimama kama Ostaz JUMA,MUSOMA
M_ yenye rangi nyeupe na nyeusi ikisimama kama Mtanashati...ila pia Logo hii ina rangi tatu yan
NYEKUNDU_ kufanya kazi kwa bidii
NYEUSI_inamaanisha Africa
NYEUPE_inamaanisha usafi na utanashati..

SIO YA KUKOSA HII

31/12/2012 HUNTERS BEACH..FUNGA MWAKA NA WASANII KIBAO

Mkesha wa Mwaka Mpya ..Funga Mwaka Beach Party AMBAYO Haijawahi kutokea ...Venue ni HUNTERS  BEACH KIGAMBONI...Iikongozwa kwa Stage na Stamina , Roma ,Suma Lee ,Barnaba , Chibwa , Momba , Makomando ,Juma Nature Msitu wa Vina  ,  , Dulayo , Robby ,Viva Conscious , sambamba na YAKUZA MOB ,Na Kutoka Zanzibar Alonem ,na FUN KISS , JUMATATU TAREHE 31/12/2012  ....Kiingilio TSH 7000.....Kuanzia saa 8 mchana mpaka majogoooo...

23th december..Funga Mwaka na WEUSI Concert

FUNGA MWAKA NA WEUSI! Tarehe 23 ya mwezi huu ndo ile siku ya Usiku wa funga mwaka la weusi utakuwa na uzinduz wa BUM KUBAM DVD mfumo mpya wa usambazaji wa kaz za wasaanii pamoja na uzinduz wa nymbo mpya ya LORD EYEZ ikiambatana na show ya milele!Pand flan ivi za MAISHA CLUB kwa kiingilio cha 10000 tu.
Hapa Lord Eyez
Hapo Gnako 
KatiKati Bonta 
Pembeni Joh Makini
na Kule Nikki wa Pili 
SIO YA KUKOSA
WIMBO WA NIKKI WA PILI BUM KUBAM UTAKUWA WIMBO WA KWANZA KUANZA KUSAMBAZWA KWA MFUMO RAFIKI NA ITAANZA KUTUMIKA RASMI TAREHE 21,12,2012 AMBAPO ITAKUWA PIA NI SIKU YA UZINDUZI WA DOCUMENTARI YA KWANZA YA HIP HOP YA WIMBO WA BUM KUBUM. HIZI HAPA FAIDA ZA MFUMO RAFIKI: 1.MSANII ANAUNGANISHWA MOJA KWA MOJA NA MFUMO NA KUJUA IDADI YA NAKALA ZOTE ALIZOUZA, 2.MFUMO RAFIKI UNAZUIA WAUZAJI FEKI WA KAZI ZA WASANII, 3.MSANII ATAMFAHAMU KILA MTU ALIYANUNUA KAZI YAKE NA KUWASILIANA NAYE MOJA KWA MOJA, 4.WEZI WOTE WA KAZI ZA MSANII WATAJULIKANA HADHARANI KUPITIA MFUMO RAFIKI, 5.KAZI ZA MSANII ZITAPATIKANA KWA URAISI NA KWA WAKATI, 6.MFUMO RAFIKI UTASAIDIA PIA KUPUNGUZA WANYONYAJI WA MUZIKI( PIRACY}
NIKKI WA PILLI NA MFUMO RAFIKI WA KUUZA KAZI ZA MUZIKI