Monday, November 5, 2012

Rick Rozay amjibu Floyd Mayweather kuhusiana na tweet aliomtumia juu ya beef lake na raper 50 Cent.

Kiongozi kutoka kundi la "Maybach Music Group (MMG),Rick Rozay The boss ameibuka katika mtandao wa twitter na kuzungumzia beef linaloendelea baina ya raper 50 Cent na Floyd MayWeather kwa kujibu tweet aliyotumiwa na Flody jumamosi ya tar 3 Nov 2012,Rozay alijibu kwa kuandika on twitter

"That boy @Floyd MayWeather said " hold my money F**k boy''haaaaa# tmt # MMG # OilMoney".Rozay tweeted November 3rd.

Rick Rozay pia aliendelea kutiririka kuhusiana na beef  hili huku akimzungumzia Floyd MayWeather kwa kutumia jinsia ya kike juu yake na  kwa maneno ya kejeli..

           ""Well, she did some things," Ross jokingly said about why he is involved in a beef with Mayweather. "Just to get some attention, said some things and I punished her. She got my attention so I lashed out. I punished her and now she just released another statement retracting what she was saying before. That's all I wanted, stay in your place young lady. We know you're sweet. Straight sugar. I'ma be honest, I am a fan. He said it, I did go to the fights. The $5,500 seats, yeah, I was right there, I coulda threw a red soda on you. She lives an alternative lifestyle and we gonna leave it at that. Much success to your boxing but just respect the G's." (UStream) Rozay said.

Raper 50 Cent katika beef zito na rafiki yake wa karibu Floyd MayWeather..

50Cent na Floyd MayWeather ijumaa ya wiki hii wakat wa match baina ya Lakers na Clippers ikiendelea iliripotiwa wawili hawa kuingia katika beef nzito baada ya raper superstar ambae kwa sasa ni promoter wa ngumi za boxing 50 Cent kuandika on twitter ya kuwa amesitisha mkataba na mahusiano yake ya kibiashara pamoja na urafiki wa kawaida na bingwa asiye pingika katika ngumi za boxing Floyd MayWeather.Aliendelea kwa kusema ataendelea kufanya kazi ya kupromote mchezo huo huku akiwa na mkataba na Yuriorkis Gambodia,Billy Dib na Andre Dirrel pasipokua na MayWeather..50 Cent aliendelea kwa kukosoa maisha ya Floyd kwa kumwambia kazidi kutumia pesa zake kwa kununua wanawake wanaopenda pesa zake na si kumpenda yeye,On twitter hapo jana Jumamosi 50 Cent aliandika ''I cant hang out with FLOYD no more,I am tired of running from manny pacquiano#sms Audio".Pia katika upande wa MayWeather yeye pia aliendelea kutuma picha on twitter bandika bandua huku akimtukana na kumkejeli 50 cent kupitia picha hzo huku akizipost pia kwa rapers Kanye West,Lil Wayne na Rick Rose kupitia twitter.
50 Cent na Floyd MayWeather.
50 Cent akiwa amebeba mikanda ya Floyd MayWeather katika moja ya mapambano yake aliotwaa ubingwa wa boxing .
Justin Bieber,Lil Wayne,Floyd Mayweather pamoja na 50 Cent.

Saturday, November 3, 2012

BRIGITER ALFRED kutoka kitongoji cha Sinza ndiye mshindi Miss Tanzania 2012..

 BRIGITER ALFRED  akipunga mkono kuwashukuru mashabiki baada ya kushinda..
    BRIGITER katika pozi
                                                              Top three Miss Tanzania 2012
 Taji Lihundi na Jokate Mwigelo kidoti  wakihost shindano la Miss Tanzania 2012


Asali ya warembo (Diamond Platnum katika performance ya Miss Tanzania 2012)..




 Diamond Platnum na Wanne Star ndani ya Miss Tanzania 2012

     Diamond akiperform....


SAM nae ahitimu degree yake ya kwanza kutoka University of Greenwich

     Sam Misago pia ahitimu degree yake ya kwanza ya Bussiness Administration kutoka Learn IT Institute     of   Bussiness and Technology

Fetty,Gk wahitimu shahada ya kwanza kutoka chuo cha Tumaini

 A.Y,King Crazy GK na Mwana F.A wakiwa katika mahafali ya GK 
              Mwana F.A,Dj Fetty na A.Y katika mahafali ya chuo cha Tumaini jumamosi ya tar 3 Nov 2012

Brand new track kutoka kwa Diamond,Nataka Kulewa