Thursday, February 21, 2013

Hii ni picha ya Zombi ilichorwa na mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne mwaka 2012 katika karatasi yake ya majibu..

ndalichako

katibu mtendaji wa baraza la mitihani Tanzania (Necta) Dk Joyce Ndalichako akionyesha picha hiyo juzi

Picha ; Wema Sepetu azindua Offisi za kampuni yake ya "Endless Fame Firm"..


Dada Wema

 IMG_4933 (600x400)
                            Mama yake pia alikuwepo kumsapoti mwanae
IMG_4960 (400x600) 

IMG_4959 (600x400)

 Wema na Cloud kwa mbali katika ofisi za EFF

Jiko la Endless fame films

Waigizaji wenzake wa filamu nao walimsapoti
             Waigizaji Filamu wenzake Jay B,Cloud,Ray na wengine wengi walikuwepo kumsapoti

 Wema akianza kuielezea Endless fame films

Wiz khalifa na mchumba wake Amberose,wapata mtoto wa kiume...




 Amber+Rose+55th+Annual+GRAMMY+Awards+Red+Carpet+4Z-tc_V-hUYl,
Wiz Khalifa na mchumba wake ambarose wakiwa katika mtoko wa wazi kabla ya tunzo za Grammy February 2013, baada ya mtoko huu Tar 14 Feb 2013 Amberose aliandika on Twitter kwamba hataoneka mpaka atakapojifungua mtoto wao....

 "Hey Rosebuddy and RoseStuds.muva wont be back on twitter until Wizbud is born, I need to meditate & focus on our Lily boy,Love you talk soon"



Huyu ni Wiz Khalifa akionekana akiwa amevaa mavazi ya Labour,,ni baada ya mchumba wake kujifungua mtoto wa kiume jumanne mchana,ambaye jina la mtoto huyo ni 'Sebastian'..
0221_wiz_inset

Friday, February 8, 2013

huyu ndio mbunge Sonko bhaaana....

Huyu ndie mbunge Sonko wa Kenya ambae mara kwa mara amekua akimake headline katika vyombo vya habari kwa aina ya maisha yake ndani na nje ya bunge la kemya,lakini pia inasemekana huyu ndie mbunge ambaye anapendwa na vijana wengi sana nchini kenya..ambapo hivi karibuni aliweka bayana gari lake jipya na kuliandika SENETOR badala ya namba ikimaanisha kua na ndoto ya kuwa Senetor wa jiji la Nairobi...



Wabongo kwa mautunduu....ebu cheki hapaa..

Thursday, February 7, 2013

kampuni ya Fast Jet yakanusha uvumi unaoenea kuwa imenyang'anywa leseni yake ya biashara Tanzania..

fastjet

kampuni maarufu ya Fast Jet inayofanya safari za angani kupitia nchi mbalimbali baran Afrika ikiwemo Tanzania imepinga vikali uvumi wa kuwa imefungiwa leseni yake ya kufanya safari zake za anga nchini Tanzania kupitia website yao ya www.fastjet.com kama ilivoripotiwa leo hapa chini....

 Habari Muhimu
 

Rapa Kanye West na mkewe Kim Kardashian hivi karibuni wamenunua mjengo mpya wenye thaman ya Dollari za kimarekani Million 11......

Hizi ni baadhi ya picha za mjengo huo wenye kila maraha ndani yake...