Saturday, January 5, 2013

Closer by Vanessa Mdee soon kuachiwa rasmi....

Mtangazaji wa MTV Base na Choice FM Radio Vanessa mdee soon anatarajiwa kuachia wimbo wake mpya unaoitwa CLOSER...ambayo umetayarishwa na maproducer wawili mashuhuri hapa bongo ambao ni Hermy B na Pancho Latino katika studio ya BHit..wimbo huu  unatarajiwa kuachiwa rasmi tarehe 11 January,2013...

Izzo Bizness afungua "Internet Cafe and Secretarial Bureau" jijini Mbeya...


Mh.Mbilinyi akiperuzi na kufurahia huduma ya internet katika cafe ya Izzo..

Mh. Joseph Mbilinyi akisalimiana na Izzo Bizness katika uzinduzi wa Internet Cafe and Secretarial Bureau mjini mbeya...katika uzindizi huu Mh.Mbilinyi alikua mgeni rasmi wa uzinduzi huu..

Huyu ndio Story...aliyeimba chorus katika new Track ya Roma inayoitwa 2030....