Monday, November 5, 2012

Raper 50 Cent katika beef zito na rafiki yake wa karibu Floyd MayWeather..

50Cent na Floyd MayWeather ijumaa ya wiki hii wakat wa match baina ya Lakers na Clippers ikiendelea iliripotiwa wawili hawa kuingia katika beef nzito baada ya raper superstar ambae kwa sasa ni promoter wa ngumi za boxing 50 Cent kuandika on twitter ya kuwa amesitisha mkataba na mahusiano yake ya kibiashara pamoja na urafiki wa kawaida na bingwa asiye pingika katika ngumi za boxing Floyd MayWeather.Aliendelea kwa kusema ataendelea kufanya kazi ya kupromote mchezo huo huku akiwa na mkataba na Yuriorkis Gambodia,Billy Dib na Andre Dirrel pasipokua na MayWeather..50 Cent aliendelea kwa kukosoa maisha ya Floyd kwa kumwambia kazidi kutumia pesa zake kwa kununua wanawake wanaopenda pesa zake na si kumpenda yeye,On twitter hapo jana Jumamosi 50 Cent aliandika ''I cant hang out with FLOYD no more,I am tired of running from manny pacquiano#sms Audio".Pia katika upande wa MayWeather yeye pia aliendelea kutuma picha on twitter bandika bandua huku akimtukana na kumkejeli 50 cent kupitia picha hzo huku akizipost pia kwa rapers Kanye West,Lil Wayne na Rick Rose kupitia twitter.
50 Cent na Floyd MayWeather.
50 Cent akiwa amebeba mikanda ya Floyd MayWeather katika moja ya mapambano yake aliotwaa ubingwa wa boxing .
Justin Bieber,Lil Wayne,Floyd Mayweather pamoja na 50 Cent.

No comments:

Post a Comment