Tuesday, December 25, 2012

Leo usiku wa x-mass,,kutakua hapatoshiiiii katika ukumbi wa Dar Live....ambapo Diamond The Platnum na Ommy Dimpoz mzee wa poz kwa poz watawarusha mashabiki wao ukumbini humo huku wakisindikizwa na Extra Bongo na Sir Juma Nature katika show hiyoo....







No comments:

Post a Comment