Saturday, December 29, 2012

Juzi katika mechi kati ya Lakers VS Knicks siku ya Chrismas katika uwanja wa staples jijini Los Angels,wasanii Chris Brown na mwana dada Rihanna a.k.a RiRi walionekana wakivinjari mechi hyooo ikiwa ni baada ya wawili hawa kusemekana kuurudia uhusiano wao tangu walipoachana miaka kadhaa iliyopita..

..

No comments:

Post a Comment